Nahitaji IST Old Model budget yangu 8-9.5m

Nahitaji IST Old Model budget yangu 8-9.5m

Herry jr

Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
84
Reaction score
141
Nahitaji IST Old Model namba ya usajili yoyote ile but yenye vigezo vifuatavyo:

1. Body iwe nzuri
2. Mwaka wa usajili kuanzia 2017 kuendelea, ili niweze kulipia bima kubwa.
3. Iwe na AC
4. Engine iwe vizuri
5. Gearbox iwe vizuri
6. Ikiwa na bampa kubwa ni vizuri zaidi japo sio muhimu sana.

Budget yangu ni 8-9.5m
 
Hiyo pesa ni kubwa utapata mapema sana
 
Nimetaja mwaka wa usajili na sio Year of Manufacture, Gari ikiwa imesajiriwa hapa Tanzania ndani ya miaka 10 ilopita unaweza kukatia bima kubwa. Namimi siwezi kumiliki gari ambayo siwezi kuikatia bima kubwa.
 
Bima kubwa sio ndani ya miaka mitano mkuu?
 
Hapana, ni miaka 10. Mfano leo hii ili ukate bima kubwa inatakiwa hiyo gari iwe imesajiliwa hapa Tanzania kuanzia September 2015 na kuendelea ila ikifika mwakani hutoweza ikatia tena.

Japo kwa magari ambayo usajili wake ni wa zaidi ya miaka 10 kurudi nyuma, ukitaka bima kubwa huwa wanatuma ma assessor wao kwenda kulithaminisha but wanalipa thamani ndogo sana na ili uweze kalikatia bima kubwa inabidi liwe kweny condition nzuri. Kama lina condition ndogo, watakuambia ukatie bima ndogo tu.
 
Back
Top Bottom