NAHITAJI iPOD URGENTLY.

NAHITAJI iPOD URGENTLY.

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,830
wadau,

Kama kuna mwenye iPod na anauza basi ahusike na kichwa cha habari hapo juu ila iPod yenyewe iwe nano (8th generation) ama touch (4th generation with memory of 64GB).

iPod ziwe mpya na kama ni used ziwe na hali nzuri.

Bei ya Nano at most iwe Tshs. 80,000 na hiyo ya 4th generation iwe Tshs. 100,000.
 
Ninayo touch ya 16gb,mint used na inakaa na charge wiki ila kama ni nonstop uses basi inakaa siku tatu na ukicharge inajaa ndani ya nusu saa,bei ni laki na nusu taslimu kama utaweza- 150,000/=
 
Ninayo touch ya 16gb,mint used na inakaa na charge wiki ila kama ni nonstop uses basi inakaa siku tatu na ukicharge inajaa ndani ya nusu saa,bei ni laki na nusu taslimu kama utaweza- 150,000/=

Is it new? Kama yes chukua 130,000
 
mkuu mtusaidie sie wakulima i pod ndo za mziki?mi sielewi

Mkulima wewe ni wa zama za kidijitali-ni kasimu kanachotumia mziki kama vocha!!

Google kama huamini majibu mkuu!!!
 
Back
Top Bottom