Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,047
- 3,784
Iphone 7 price - TZS1,909,000 na iphone 7 Plus 32GB Price - TZS2,185,000Habari wadau,
Naomba msaada kwa anayejua official dealer wa iphone kwa Tanzania- aliyeko dsm,iwe iphone7 au 7plus , pia kama una idea ya bei zake itakua umenisaidia.
NB: Sihitaji used; nahitaji mpya sealed with warranty.
shukrani
thanks...your location, shop name au any recommendation ya wapi ninunue.Iphone 7 price - TZS1,909,000 na iphone 7 Plus 32GB Price - TZS2,185,000
Mi si muuzaji...nimekusaidia tu kutafuta hizo info kwenye net.thanks...your location, shop name au any recommendation ya wapi ninunue.
...duh,mkuu hata kustuka kidogo na hizo bei!?thanks...your location, shop name au any recommendation ya wapi ninunue.
We are equal but others are more equal mkuu...wengine hatuko kwenye kutumbua kipele wala kukuna jipu.....mgodi unatema kama kawa wali nazi![emoji12]...duh,mkuu hata kustuka kidogo na hizo bei!?
..hebu tupeane hizo ramani,kwa sifa na utukufu wa jina lake!
Hamna mnunuaji hapa we kama huitaji used umeyapita maduka mangapi mpaka ujue kwa MaxenceMero hapaHabari wadau,
Naomba msaada kwa anayejua official dealer wa iphone kwa Tanzania- aliyeko dsm,iwe iphone7 au 7plus , pia kama una idea ya bei zake itakua umenisaidia.
NB: Sihitaji used; nahitaji mpya sealed with warranty.
shukrani
sometime kupaka rangi upepo inakusaidia kuongeza uhai..keep t up!Hamna mnunuaji hapa we kama huitaji used umeyapita maduka mangapi mpaka ujue kwa MaxenceMero hapa
Mwaikibaki ulipata mzgo oficial? Ulinunua wapi na kwa bei gan iphone 7 plus?
ngebo kumbe inawezekana kuagza iphone direct kutoka aple kwa rejareja! Kupitia website ya apple au? Ofcoz bongo zmejaa ila wabongo weng ujanja mwing anakuambia k2 new kumbe kimetumika, na inakuwa ngumu kutofautisha, smtmz zingne fek. Mimi nataka mpya kabisa ikiwezekana iphone 11 pro max.. Nipe website ya kuagza