Nahitaji iphone 5s yenye icloud lock

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,714
1,829
Habar za leo wakuu

Simu yangu (iphone 5s) imepasuka kioo hivo nahitaji kama kuna mtu ana simu kama hii yenye icloud aniuzie ili nitoe display niweke kwenye cm yangu

Budget yangu ni efu 50
 
n
Asante kwa link mkuu ila me sina qualification za kuniwezesha kujiunga ebay na kufanya manunuz mtandaon
Ndo maana nikasema kama una sanduku la posta naweza kukuagizia ila kwa gharama zako au kama una TIN namba naweza kukuagizia kisha mzigo ukaletewa mpaka mlangoni kwako na DHL ila hawa jamaa gharama zao zimechangamka kidogo
 
Back
Top Bottom