nunua tigo kabang ya wiki kwa tigo rusha.
1. dakika 150 mitandao yote
2. dakika 150 tigo kwenda tigo
4. GB 1 internet ya faster
5. unlimited browsing (baada ya kumaliza GB yako moja)
kifurushi hichi kinauzwa 11,000. ukinunua tigo watakuzawadia wiki 3 za bure hivyo utapata.
dk1200 GB 4 kwa mwez na unlimited browsing.
kumbuka ni tigo rusha tu ndo unapata hii offer
Mbona Formula ya Unlimited Internet Ipo Sema tatzo n Kuielewa na Kuifanyia Kazi Tuu Japo Speed Yake Sio Kali Sana
UNLIMITED INTERNET= TG + Megabox
Akili Yako ... na Kuifanyia Kazi kwako..
Ikaushie hiyo. Asiyejua maujanja hayo achana naye wanga wataroga.
Mkuu sijakuelewa hapa "
ukinunua tigo watakuzawadia wiki 3 za bure hivyo utapata.
dk1200 GB 4 kwa mwez na unlimited browsing." unamaanisha ukienda kununulia ofisini kwao au?
ni tigo rusha tu. ukienda wenyewe wanajua
Ikaushie hiyo. Asiyejua maujanja hayo achana naye wanga wataroga.
poa kaka ila hii ni legal
ukinunua kwa Tigo rusha
unaangaliaje salio ktk hili bando? na je hiyo kukuzadia wiki 3 unaambiwa ktk msg au inakuwa kimya kimyanunua tigo kabang ya wiki kwa tigo rusha.
1. dakika 150 mitandao yote
2. dakika 150 tigo kwenda tigo
4. GB 1 internet ya faster
5. unlimited browsing (baada ya kumaliza GB yako moja)
kifurushi hichi kinauzwa 11,000. ukinunua tigo watakuzawadia wiki 3 za bure hivyo utapata.
dk1200 GB 4 kwa mwez na unlimited browsing.
kumbuka ni tigo rusha tu ndo unapata hii offer
unaangaliaje salio ktk hili bando? na je hiyo kukuzadia wiki 3 unaambiwa ktk msg au inakuwa kimya kimya