Nahitaji incubetor automatic

molely molly

JF-Expert Member
Nov 28, 2011
317
30
Hallo wadau mimi nipo moshi kwa sasa nina shida na mashine ya kuangulia vifaranga ninapendelea iwe ni automatic isiwe imechoka iwe na uwezo wa kuhifadhi joto kwa muda my budget iko laki 4 ifike nilipo! shukrani kwenu wadau:A S 103::amen:
 
Naona mmecharuka na ujasiriamali kuna jamaa kule kibaha nilimtembelea zamani kidogo anatengeneza vizuri sana ntatafuta contact zake hata sido zinapatikana pia.
 
Naona mmecharuka na ujasiriamali kuna jamaa kule kibaha nilimtembelea zamani kidogo anatengeneza vizuri sana ntatafuta contact zake hata sido zinapatikana pia.

Weka hizo contact zake
Lakin mbona wengi wanadai za kibongo bongo hazifanyi kazi kwa Ufanisi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom