M mbongombishi JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 593 Reaction score 310 Sep 5, 2015 #1 Habari wakuu na wadau wa Jukwaa hili. Natafuta simu aina ya HTC HD2 (Windows Phone) ambayo ni mbovu. Tafadhali kwa aliyenayo,au anayejua wapi naweza kuipata naomba tuwasiliane. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Habari wakuu na wadau wa Jukwaa hili. Natafuta simu aina ya HTC HD2 (Windows Phone) ambayo ni mbovu. Tafadhali kwa aliyenayo,au anayejua wapi naweza kuipata naomba tuwasiliane. Natanguliza shukrani zangu za dhati.