Habari wanajf.
Nina simu aina ya itel i1450. Tatizo LA simu hii ni kwamba imevunjika kioo cha kwenye housing. Hivyo basis kama unayo housing yake hats ikiwa used naomba unijulishe kwa 0714-408238 au 0759-401230.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.