Haaaaaaaaaa..... Hapo sasa!hicho kibegi kimejaa hata kabla hakijawekwa mzigo
Real?Laaa haula......ptuuuuuuuu....
Am not sure...Real?
Hakuna cha begi wala nini una lako jambo mkuu
😀😀😀 begi bana....Bagi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] lipo wapi
Ahaa hapo sawa[emoji3] [emoji3] [emoji3]😀😀😀 begi bana....
Ulinunua fake kipochi manyoyaUsinunue, Mikanda yake sio imara
Usiombe ukaingia chunvini utatamani ubaki huko hukoDuuh... Hilo shavuu
Ilikua created jumatatu (tar 21/03/2016) saa mbili na dakika hamsini na nane mkuu!Leo alahamisi kuu tafadhaliii......
Tulia wewe mbona unataka kutibua issue ... sio shemu wako huyu ni yule mwingine!Si hilo bagi tyr analo au shemej gn tna?