Nahitahi hii simu Nokia 1280 kwa wakazi wa Dar mnilekeze nitaipata wapi ikiwa mpya na original natarajia kuingia huko kesho kama unayo mpya na box lake njoo hapa
Model mpya sijazikubali sana hapana hiyo simu naipenda sana baada ya mwanzo kuzama nayo shambani ikapotea.nikiikosa nitachukua old model nyingine 1110 malufu yeboyebo
Model mpya sijazikubali sana hapana hiyo simu naipenda sana baada ya mwanzo kuzama nayo shambani ikapotea.nikiikosa nitachukua old model nyingine 1110 malufu yeboyebo
yani swala sio mpunga sihitaji kupata changamoto na haya matoleo mpya nayaona yanavyowatesa watu huko mpolini nokia 1280 or 1110 pigwa mvua ukipata nafasi unaifungu futa naji kazi inaendelea mfano hizi nokia 105 zina kaugonjwa wa ku stack on logo mpaka ukflash sasa mambo gani hayo
unapo sema nokia-0 ngapi maana ziko nyingi!ila hilo toleo simu zake zinazo kaa na chaji ni nokia c1-02 ila kama una x2-02 nakupa mpunga kesho mapema hiyo simu pamoja kua na kioo cha rangi na kamera iko vizuri ktk battery hapa nazungumzia simu sio midoli