Nahitaji Hiace Manual

Nahitaji Hiace Manual

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
3,543
Reaction score
3,604
Wakuu salama,

Nahitaji Toyota Hiace kwa ajili ya Biashara.

Ofa yangu Tsh. 16,000,000/=.

Iwe nzima na ambayo haijatumika muda mrefu wala kuchokonolewa na mafundi uchwala.

Manual & diesel.
Iwe imetembea chini ya km 200,000.
Kutumika na kusajiliwa Tanzania isizidi mwaka 1.
Kama ni ya zamani basi tutaangalia hali yake.
Inahitajika haraka.

Kama unayo comment au inbox.
 
Wale madalali kazi kwenu hapo
 
Kwa specifications zako basi bei yako iko chini
 
Toyota chini ya 200,000 Km,iliyotumika mwaka mmoja upate kwa 16m...nadhani ungetangaza kuwa unahitaji Toyota iliyo na hizo Specification harafu ukiona ubora au mapungufu unataja bei utakayolipa ila kwa mazingira uliyoyaweka ngoja nijifunze kwako...
 
Hamna shida mkuu, yoyote tu ambayo ipo vizuri tunaweza tukafanya business! Kama unayo usisite kuni inbox tufanye business!

Back
Top Bottom