Habarin za usiku rejea kichwa cha habar hapo juu nahitaji helment ya kuendeshea baiskeli au naweza kuoata wapi vifaa vya kuendeshea baiskel kama helment ,gloves miwan na vinginevyo nimejaribu kwenda tandika na hata karume wanapouza baiskel za mitumba sijapata aksanten nawasilisha
Ndo maana nikataja maeneo niliyoenda ,tandika na karume ndo sehemu nilizoenda na hakuna helment na ndo sehemu wanaposhusha baiskel za mtumba ,kama ni kariakoo nielekeze tafdhali
Ndo maana nikataja maeneo niliyoenda ,tandika na karume ndo sehemu nilizoenda na hakuna helment na ndo sehemu wanaposhusha baiskel za mtumba ,kama ni kariakoo nielekeze tafdhali