Nahitaji Handheld metal detector device na bastola

Nahitaji Handheld metal detector device na bastola

emmanuel1976

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
301
Reaction score
80
wakuu salaam,

Naomba kujuzwa ni maduka gani yanayouza vifaa hivyo vya ulinzi. Kifaa cha mkononi cha kukagua ikiwa mtu ana bunduki, vilipuzi, visu nk na bastola anapoingia ukumbini, hotelini ama kwenye nyumba za ibada.

Asanteni.
 
Mkuu nenda central police ya mkoa uliopo watakupa details ya jinsi ya kumiriki hizo zana.
 
Nafahamu utaratibu wote wa namna ya kumiliki silaha, nataka kufahamu zinauzwa wapi, bei yake nk ili ninapofanya utaratibu kila kitu kiwe poa. Asante mkuu
 
Asante sana mkuu kwa taarifa, duka liko karibu na maeneo gani hapo upanga?
 
Asante sana mkuu kwa taarifa, duka liko karibu na maeneo gani hapo upanga?
 
Asante sana mkuu kwa taarifa, duka liko karibu na maeneo gani hapo upanga?

1. Makao makuu ya Jeshi - Ngome Upanga
2. Ukifika clock tower upande wa kulia kama unaenda Askari monument along Samora upande wa kulia (TRA) zunguka nyuma ya hilo jengo kuna duka Tanganyika Arms. . . . . .
 
Back
Top Bottom