Nenda pale Mtaa wa Rungwe music opposite na Soko la Sido Kuna guesti inaitwa Pajero Yan kwa 8000 unalala Mkuu lkn ungetaka lodge ningekuelekeza maeneo ya Soweto
Utaiweza biashara hiyo? Ila kama ya kupanga chumba nenda Moravian Mbeya mtaa wa Jacaranda karibu na TBC na kituo kikuu cha mabasi, iko katikati ya jiji.