Graphics card low profile isiohitaji psu ya maana na ina nguvu na ni lowprofile ni gt 1030, epic computers city mall 290,000 sema bei ni kubwa sana compare na msrp yake. Online unaipata as cheap as 150,000 na ukivizia sale mbali mbali chini ya hapo unaipata.
Za aggrey zipo pia unapata nvidia x10 series kama 210, 610 etc hizi hazina nguvu kabisa labda kama unataka extra ports hizi around 60,000 mpaka 80,000