Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,830
- 24,906
- Thread starter
- #21
Sawa Mzee MwenzanguAisee!
Kama hutanii basi nakulinganisha na yule aachaye kununua vidonge na kununua bando na kuposit fb "pray for me, feeling sick"
Ungeacha kununua bando kwa mwezi tu ungenunua godoro jipya, sasa naona kama unajidhalilisha.
Nikushauri tu, ktk vitu vyote used, usinunue godoro maana halifuliwi na ......
naomba niishie hapo
Sent from my Infinix X650B using Tapatalk