Idrisa1510
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 271
- 416
Habari zenu wakuu.
Nahitaji godoro la size ya 5 kwa 6, 4 kwa 5 au 6 kwa 6. Nimechoka kulalia mkeka, mbavu zinauma.
Likiwa inchi 5 na kuendelea inapendeza.
Sichagui kampuni kikubwa liwe kwenye hali nzuri inayoridhisha.
Offa yangu Tsh 60,000/= mpaka Tsh 80,000/=
LOCATION: DODOMA MJINI
MAWASILIANO: 0743534388 sms/calls/whatsapp
Au PM
Tusaidiane wakuu nipate pakuzipumzisha mbavu.
Natanguliza shukrani.