ELIFURAHA MAKOMBE
Senior Member
- Dec 22, 2012
- 176
- 22
wa kumla jana ulimpata??
kubadilishana mawazo kivipi
wewe u chukue yake na yeye yako ama??
kama hivyo poa maana inaonekana mawazo yako ni mwanamke tu kwa hiyo tukibadilishana nitakuwa najiwaza mimi tu,
Badilisha mawazo humu humu tu mkuu.
Ampate wapi?
Hapa ukimzomea ataliaje?
Dah huku ni kama kwenye magazeti ya udaku mkuu may be through private messages (pm).
Sasa si ndio vizuri kila mtu anasoma anatoa mawazo yake kulingana na uelewa na mazingira yake.
Ampate wapi?
Hapa ukimzomea ataliaje?
uh Karucee wewe mkorofi
Not yet masai@
Achukue yngu na mim nchukue yake@
mimi namuwaza mwanaume tukibadilishana wewe utakuwa unamuwaza tu mwanaume upo tayari??
jaribu facebook