Dah!pritty ,huyo Jose wako atakua ana-enjoy sana kuwa na wewe,i envy him!
ndoroboooooo
ha ha hahandorooooboooo wewe.....si afadhali hyo namba ungeweka gazetini au fb
y say so?
Weka namba ya Thuraya........
duh, huyo jose wako haridhiki kuchat na wewe mpaka atafute wasichana wengine....