Nahitaji Gari Zifuatazo

Ramthods

JF-Expert Member
Jun 2, 2009
515
186
Wadau,

Nahitaji gari zifuatazo kama kuna mtu anauza. Iwe imetumika kati ya mwaka mmoja hadi miwili, na iwe katika hali nzuri.

Bei ni maelewano kutokana na hali ya gari.

- Toyota Premio, 1800cc au 2000cc
- Toyota Carina Ti 1500cc
- Toyota Carina 1800cc
- Toyota Corola 110
- Toyota Caldina
- Toyota Vitz
- Suzuki Swift

Kama una gari tofauti na hizo hapo juu unauza, sio mbaya uki ni PM.

Thanks,

Ben
 
Ninayo Premio 1800, ya Mwaka 1996, engine 7A iko mzuri sana waweza kuni PM kwa maelekezo zaidi.
 
Wageni wamekutana kwenye biashara ya gari hapo sasa. Ni PM na wewe ni PM. Mimi sijui na mimi sijui. JF ni zaidi ya burudani
 
KuPM ni kumtumia mtu Private Message/PM... Unaclick jina lake unamtumia sms,,, huko mnamalizana kisirisiri...
 
KuPM ni kumtumia mtu Private Message/PM... Unaclick jina lake unamtumia sms,,, huko mnamalizana kisirisiri...

Haha! Hii misamiati mingine bwana! Wazee, PM ni Primave Message.

Thanks kwa contacts mkuu. Ntakucheki!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom