Nahitaji gari ya kukodi ya kuzolea takataka

Nahitaji gari ya kukodi ya kuzolea takataka

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,366
Reaction score
3,561
Nahitaji gari ya kukodi ya kuzolea takataka. Ni katika mitaa ninayokaa. Nataka nizoe taka na nichangishe pesa kidogo kutoka kwa wananchi wa hili eneo husika huku.

Nafanya hivyo maana naona sirikali yangu ya mtaa imeshindwa kazi hii.

Nawakilisha,
 
Mtaa gani? Kama ni uku kwetu naeza anza kuchangia kwa mpesa now now
 
Kuna mijitu michokozi! Kha! Mi nataka gari la kunilea...
 
Back
Top Bottom