Nahitaji gari ya kukodi ya kuzolea takataka

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Nahitaji gari ya kukodi ya kuzolea takataka. Ni katika mitaa ninayokaa. Nataka nizoe taka na nichangishe pesa kidogo kutoka kwa wananchi wa hili eneo husika huku.

Nafanya hivyo maana naona sirikali yangu ya mtaa imeshindwa kazi hii.

Nawakilisha,
 
Back
Top Bottom