CHRISTURKER
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 267
- 55
Mwenye kuuza gari 2nd hand saloon, hasa corola naihitaji kwa ajili ya Driving School
kama uko serious ziko za kuagizwa toka japan hivyo nipm nitakufahamisha zaidii ila ona picha hizi nambie unataka rangi gani View attachment 106763 au View attachment 106764
mimi naitaka hiyo nyeupe...ntapata kwa bei gani....?
hiyo utaipata kwa 9M inategemea na dollar kama ikipanda au kushuka shilingi bestito karibu
Kama uko serious ziko za kuagizwa toka japan hivyo nipm nitakufahamisha zaidii ila ona picha hizi nambie unataka rangi gani View attachment 106763 au View attachment 106764