Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
Siku hizi ttunajipoteza kabla hatujapoteza. Hatari sana SheikhMkuu kweli uteuzi ilikukumba upo ubalozi upi mkuu??Siku nyingi sana!

Korosho noma sana. Siku hizi hata ukitaka kuuza gari yako uliyokuwa ukiitumia wanajesho wanakwambia uonyeshe kiwanda chako cha kuyengenezea magari.Mkuu bujibuji pole na kinachoendelea siku nyingi hujaonekana au ulienda kubangua korosho
Pole sana mkuuKorosho noma sana. Siku hizi hata ukitaka kuuza gari yako uliyokuwa ukiitumia wanajesho wanakwambia uonyeshe kiwanda chako cha kuyengenezea magari.
Asante ssana kwa pole bila msaadaPole sana mkuu
Hiyo pesa mboni haitoshi hata kununua gari la punda?Nahitaji gari ndogo ya sh 2m. Tafadhal msaada wenu
Pikipiki yenyewe haitoshiSASA SI UNUNUE HATA PIKIPIKI MKUU......ACHA KUFOSI