Hahahanenda hapo sayansi ndo yanapak bwana wew wacha uvivu unatafuta gari mtandaoni?
Ya ajeKama linajaa mara kwa mara kuna system mpya unaweza tumia kuondoa tatizo hilo kabisa haina gharama na inatumia septic tank hilo hilo tu la nyumbani
Kwenye lile septic tank linafanyiwa partition kama sita ivi kila moja na kazi yake mwisho wa siku product inayotoka ni maji ya kawaida ambayo unaweza kufanya kwa matumizi kama ya kawaida(maji yanafanya recycling)nimekueleza in brief tuYa aje
Kwa hiyo inabidi kulifumua...Kwenye lile septic tank linafanyiwa partition kama sita ivi kila moja na kazi yake mwisho wa siku product inayotoka ni maji ya kawaida ambayo unaweza kufanya kwa matumizi kama ya kawaida(maji yanafanya recycling)nimekueleza in brief tu
Yah!system inabid ifumuliwe sana sana hii system kama karo lako linajaa kwa haraka so unatumia gharama kunyonya ndo unaweza ukaitumia guarantee yake ni kwa miaka 50.Kwa hiyo inabidi kulifumua...
Yah!system inabid ifumuliwe sana sana hii system kama karo lako linajaa kwa haraka so unatumia gharama kunyonya ndo unaweza ukaitumia guarantee yake ni kwa miaka 50.
Nenda pale sayansi Kijitonyama ndio utapata wanyonyajiNahitaji gari la kunyonya maji taka karo limejaa. Natumia choo cha ku-flush, kuna karo la chemba mbili (la square) na lile la maji taka la round.
Mwenye hiyo huduma ani-PM tuongee.
Sehemu ni Yombo Buza.
Nenda pale sayansi Kijitonyama ndio utapata wanyonyaji
Ni scientifically calculated....designed period ipo kwa kila mradHivi unapompa mtu garantii ya miaka hamsini,kuna study yoyote mmeifanya kuonesha kwamba hicho kitu kitadumu kwa miaka hamsini?
Naomba kuona kazi hizo.Endapo kama utahitaji tuwasiliane naweza kuonyesha kazi tulizofanya