nahitaji gari la kizamani ili ninunue!

nahitaji gari la kizamani ili ninunue!

emback

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
444
Reaction score
373
ndugu watanzania mimi kipato changu ni cha chini sana lakini mahitaji gari kwa ajili ya kufanyia huduma mbalimbali....ambapo huduma kubwa ni kuhudumia wagonjwa mahospitalini kila jumamosi....tatizo limekuja pale ampapo usafiri uakuwa wa shida kila nnapohitaji kwenda kwenye huduma hi....lakini pia nnakuwa na mizigo mbalimbali am
bayo ni kama zawadi kwa wale nnaoenda kuwahudumia,...... kwa hiyo nnahitaji kwa mweye gari iwe ya kizamani kama vokswagen beetle, peogeut za bei ya chini sana lakini nzima anijulishe ili niangalie uwezekano wa kununua!
 
Jipange tu kaka ununue gari la maana hayo unayosema wewe ni matatizo makubwa katika spares na service zake..ni maduka machache sana yenye spares hizo pindi gari yako itakapoitaji spares...kuna magari mengi ya kisasa ambayo ukijipanga wawezanunua kwani bajeti yako ni tsh ngapi????
 
ndugu watanzania mimi kipato changu ni cha chini sana lakini mahitaji gari kwa ajili ya kufanyia huduma mbalimbali....ambapo huduma kubwa ni kuhudumia wagonjwa mahospitalini kila jumamosi....tatizo limekuja pale ampapo usafiri uakuwa wa shida kila nnapohitaji kwenda kwenye huduma hi....lakini pia nnakuwa na mizigo mbalimbali am
bayo ni kama zawadi kwa wale nnaoenda kuwahudumia,...... kwa hiyo nnahitaji kwa mweye gari iwe ya kizamani kama vokswagen beetle, peogeut za bei ya chini sana lakini nzima anijulishe ili niangalie uwezekano wa kununua!

Unahitaji kujenga urafiki na mafundi???
Kama jibu ni ndio basi endelea na plan yako!!
 
Ungeweka offer yako ili wenye nayo wajitokeze. Mashaka yangu ni gharama utakazoingia kwenye matengenezo
 
Nakushauri uanze kwa kununua baiskeli, usikurupuke kutaka kununua gari bila ya kuwa na kipato cha kutosha na pia bila uzoefu. Nachelea usije ukauziwa mkweche kwa bei ya gari safi.
 
ndugu watanzania mimi kipato
changu ni cha chini sana lakini mahitaji gari kwa ajili ya kufanyia
huduma mbalimbali....ambapo huduma kubwa ni kuhudumia wagonjwa
mahospitalini kila jumamosi....tatizo limekuja pale ampapo usafiri
uakuwa wa shida kila nnapohitaji kwenda kwenye huduma hi....lakini pia
nnakuwa na mizigo mbalimbali am
bayo ni kama zawadi kwa wale nnaoenda kuwahudumia,...... kwa hiyo
nnahitaji kwa mweye gari iwe ya kizamani kama vokswagen beetle, peogeut
za bei ya chini sana lakini nzima anijulishe ili niangalie uwezekano wa
kununua!

gari inauzwa mil.3 na nusu nissan saloon, ni gari imara ya kizamani ni nzuri sana , inahitaji battey, na service maintanance
0762646463
 
Back
Top Bottom