Nahitaji gari aina ya Land cruiser Prado new model

Tanzanian lady

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
261
320
Habari wakuu,

Naamini humu kila jambo linawezakana,

Nahitaji gari aina ya Land cruiser Prado new model, au gari yoyote iliyonyanyuka ambayo waweza itumia kwa safari za pori ukilinganisha na barabara zetu baadhi ya sehemu siyo nzuri.

Yoyote mwenye kufanya biashara hii anipm pamoja na gari husika na bei zake.
Ningeweza kuagiza lakini muda na uhitaji havina urafiki.

Awe serious pls.

Asanteni!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu
Naamini humu kila Jambo linawezakana
Nahitaji gari aina ya Land cruiser Prado new model, au gar yoyote iliyonyanyuka ambayo waweza itumia Kwa safari za pori ukilinganisha Na barabara zetu baadhi ya sehemu siyo nzuri.
Yoyote Mwenye kufanya biashara hii anipm pamoja Na gari husika Na bei zake.
Ningeweza kuagiza lakini muda Na uhitaji havina urafiki.
Awe serious pls.
Asanteni!

Sent using Jamii Forums mobile app
upo wapi?gari lipo,landcruiser.
 
Habari za asubuhi wakuu
Kama nilivyoandika penye wengi haliharibiki Jambo. Nahitaji gari Prado land cruiser iliyotumika(iwe Na Hali nzuri)

Au gari yoyote ya juu ambayo naweza kutumia Kwa field maeneo ya vijijini Na ukizingatia miundo mbinu ya barabara Kwa baadhi ya sehemu hapa nchini.
Isiwe bei kubwa ukilinganisha Na bei za sokoni
Ningeagiza lakini nakimbizana Na muda Na uhitaji
Kama kuna mtu anayo anipim
Then pls be serious.
Asanteni wakuu.


Sent using Jamii Forums mobile app

Kama hutojali sana Mkuu nakushauri funga safari haraka nenda Dodoma kwani Wafanyakazi wa CDA iliyovunjwa huwezi amini sasa wanauza Magari yao yenye hadhi hadi kwa Tsh Milioni 3 kwani hali zao za Kimaisha sasa hivi ni mbaya kuliko maelezo na ile mirija yao yote ya mtonyo imezibwa. Kuna Mtu kanunua Alteza isiyokuwa na muda mrefu kwa Tsh Milioni 5 tu tena huku huyo anayemuuzia akiwa amempigia magoti na analia ili Jamaa alinunue.

Wahi fasta Dodoma Mkuu hutojutia.
 
Wenye kuhitaji kweli wanaenda Toyota,wewe unataka tu attention na unasumbua tu keyboard za watu huku.Hamna mnunuzi hapa.
 
Back
Top Bottom