King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
Ntashukuru sana kakangu, dah. Undugu na udumu. Na nna mpango wa kuhama magomeni nihamie mikocheni walau bonde la mpunga. Nikipata gratuity tu nanunua na mtumbwi.
Usijali King'asti we dada yangu wa ukwehe tukutuku hapana ngoja nikupige japo na ka IST siwezi shindwa uweke heshima mjini, kugombea dala dala mchezo? na hivi Morogoro road imeharibika hadi ikamilike lini?