Wadau mwenyekujua mtu anaeuza gari haina hiyo anijulishe.
Una kiasi gani?u go check it kwa any garage/fundi wako unayemuamini wewe ku-verify before hujanunua!(If u like)
Wadau mwenyekujua mtu anaeuza gari haina hiyo anijulishe.
Bajeti yako
Kwa specifications zako, hiyo hela haitotosha!!Ipo 7m ila gari iwe katka standard na kama upo nalo karibu lipge picha afu nifanyie ktk whatsapp na liwe katika namba hiz za ivi karbuni mkuu.
Kwa specifications zako, hiyo hela haitotosha!!
Hii gari sina kwa sasa mkuu, but nlikua natoa tu angalizo maana hizi gari zipo kwenye chart nowKaribu inbox nipe bei yako afu nichek ili 2fanye biashara ndugu.
Karibu inbox nipe bei yako afu nichek ili 2fanye biashara ndugu.
Kwa jinsi unavyotaka andaa minimum 10milion sio 7 m mkuu
Karibu inbox nipe bei yako afu nichek ili 2fanye biashara ndugu.
Kaka naomba na moe unafanyie walau tuk tuk. Siku hizi daladala hamna kabisa tunangojea rapid busses. Plz broh
Ipo 7m ila gari iwe katka standard na kama upo nalo karibu lipge picha afu nifanyie ktk whatsapp na liwe katika namba hiz za ivi karbuni mkuu.
Hizi boxer zimejizolea umaarufu kwa hali ya juu sana na zina attandance nzuri katika matukio.
Unanunulia Number mkuu?nakupa angalizo,gari haiangalii number yaweza hata kuwa CZZ but ni bomu!gari inaangaliwa kwanza engine,then gear Box halafu body!sio registration number wala year of manufacture!pia kwa budget yako hii huwez pata hilo gari kaka labda liwe kimeo!!panda dau tufanye biashara!ukipenda nenda kwa PM.
Boxer ndo mpango mzima hata kwa dili za fasta inahusika
Kaka naomba na moe unafanyie walau tuk tuk. Siku hizi daladala hamna kabisa tunangojea rapid busses. Plz broh