Habari wadau. Nina kazi ya kushona uniform za wanafunzi. Cherehani ninazo ila nahitaji mafundi wenye uwezo wa kushona. Dondoo za kazi ni zifuatazo;
1. Uniform ni za kike na kiume. Za Kike ni Gauni au Blauzi (Top) na Suruali na za kiume ni Suruali tu
2. Kazi inafanyika KIMARA DSM
3. Nahitaji mafundi 2
4. Kazi inatakiwa kuanza jumatatu ijayo tarehe 21/10
5. Malipo ni makubaliano
Kwa muhitaji tuwasiliane kwa namba 0757120199
Mwisho wa kupokea maombi ni Jumamosi kesho