Goba,Makongo juu!!!!!
Dish linafungwa wapi kati ya hizo sehemu mbili?au both?au unaishi mpakani(goba-makongo juu)
nipigie 0652766510
dish pia ufunguwe ndugu,jikaze kidogo
mwanzon mi nilidhan ni kaz ngumu sana ila cku moja nilimfungia jiran yangu kwa mara ya kwanza ilinichukua dk 5 tu
Mkuu hivi namimi naweza kutumia king'amuzi cha *Gulfstar* kupata na channels za hapa nyumbani??