Nahitaji fundi wa kuezeka Bunju

Habarini wakuu, mukihitaji ramani nzuri msisite kututafuta kwa 0715477041, pia mwaweza tembelea link hii kujionea baadhi ya kazi zetu

 
Maboma tayari,mapaa kama haya hapa chini mnaweza ezeka? Nionyeshe ushahidi kwa picha











 
Kuna fundi mmoja aliniezekea jengo langu, kitu kizuri kimesimama; kama utahitaji No. nitakupatia, anatokea Morogoro. popote pale anafika kwa makubaliano. Jitahidi kofia na zile valley wakutengenezee kiwandani

Huyu fundi Ima na mimi nimepanga aje kunipaulia mjengo wangu namuelewa sana
 
Tunauza mbao kwa bei za jumla
2*4 fut 12=4400
2*4treated fut 12=4800
1*6 fut 12 = 4400
1*8 fut 12= 8500
1*8 ya fisherboard=9500
1*10=13500
1*10 ya fisherboard= 15000
2*2treated fut 12=2500
2*2 fut 12=2300
2*4treated fut 18=9500
2*6 fut 12=8500
2*6treated fut 18=16000
2*2treated fut 18=5000
2*3 fut 12=3500
1*4 fut 18=4000
1*4 fut 12=2500
Tunafanya delivery popote ulipo kwa Dar-es-salaam ,tunapatikana kwa namba hizi hapa 0759630751,
0654830416,
0687371138
vile vile huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu ..
Ofisi zetu ziko Mbuyuni -Bagamoyo road
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…