Ramthods JF-Expert Member Joined Jun 2, 2009 Posts 515 Reaction score 187 May 21, 2016 #1 Wadau, Nahitaji fundi mzuri wa kupanga paving blocks. Mafundi nawaona wengi mtaani, ila ntashukuru nikipata reference toka kwa mtu ambae amefanyiwa kazi nzuri. Nyumba ipo Tangi Bovu, Mbez Beach, Dar Natanguliza shukran Ram
Wadau, Nahitaji fundi mzuri wa kupanga paving blocks. Mafundi nawaona wengi mtaani, ila ntashukuru nikipata reference toka kwa mtu ambae amefanyiwa kazi nzuri. Nyumba ipo Tangi Bovu, Mbez Beach, Dar Natanguliza shukran Ram
Gilbert A Massawe JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 6,203 Reaction score 5,064 May 21, 2016 #2 Mimi nawajua mafundi wazuri pia wanauza pevin wako kimara suka
Abuhunna JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 409 Reaction score 233 May 21, 2016 #3 Wasiliana na fundi huyu, kazi zake nazikubali ni miongoni walioshiriki kuipendezesha Mlimani City, na sehemu nyingi sana za uhakika, 0713 513554
Wasiliana na fundi huyu, kazi zake nazikubali ni miongoni walioshiriki kuipendezesha Mlimani City, na sehemu nyingi sana za uhakika, 0713 513554
Ramthods JF-Expert Member Joined Jun 2, 2009 Posts 515 Reaction score 187 May 25, 2016 Thread starter #4 Abuhunna said: Wasiliana na fundi huyu, kazi zake nazikubali ni miongoni walioshiriki kuipendezesha Mlimani City, na sehemu nyingi sana za uhakika, 0713 513554 Click to expand... Ubarikiwe sana kaka
Abuhunna said: Wasiliana na fundi huyu, kazi zake nazikubali ni miongoni walioshiriki kuipendezesha Mlimani City, na sehemu nyingi sana za uhakika, 0713 513554 Click to expand... Ubarikiwe sana kaka