Nahitaji friji ya milango miwili kwa 150,000

Nahitaji friji ya milango miwili kwa 150,000

150,000 au 1,500,000? Manake hata kwa 1,500,000 still unabahatisha
 
ukisikia au kuona watu wanakujadili iwe kwa ubaya au heri ujue unawazidi,unadhan mtu mwenye pesa zake akiona mi natafuta friji hata kwa elf 5 hawez hangaika kukejeli ila wapga mizinga,njaa kali mapovu yanawatoka,lingne linasema eti hata kwa mil.1.5 unabahatisha sjui halitembei, ukienda mlimani city pale kuna friji mpaka za laki 7,hapo hujafka kkoo ngoja nisjbzane na wapu.mbavu.
 
Back
Top Bottom