Nahitaji friji ya kununua dar

Nahitaji friji ya kununua dar

Bajeti yako na unaitaji mpya au used ?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
ni pm...kuna jamaa yangu anatoaga mzigo denmark analetaga friji.za maana...anashushaga nyuma ya mwananyamala hospital...friji lazima usikubali
 
Mrangi nami niko interested vp unaweza niunganisha na uyo jamaa wa izo friji nami nahitaji moja
 
Mrangi nami niko interested vp unaweza niunganisha na uyo jamaa wa izo friji nami nahitaji moja

Tuwasiliane 0767460006

Habari zenu, nadhan mmeamka salama! Kuna jamaa anauza friji ila m nashughulikia saa cm na laptops pamoja na magari bila kusahau saa za ukutani! Sasa ili kuwahelp mipigien huyu jamaa den mtaongea nae na atawasaidia vzur ry! Ahsante
0657064041
 
Back
Top Bottom