Beliago Territory
New Member
- Jul 21, 2023
- 4
- 5
Nahitaj frame kwaajili ya cosmetics isizid 300,000 itapendez ikiw chin ya apo maeneo ya Makumbusho/ Sinza/ Magomeni kiufupi sehem ilochangamka hapa Dar
Mimi ninayo. Ni elfu 20 kwa mwezi. Ipo Katumpa Kamparama..Nahitaj frame kwaajili ya cosmetics isizid 300,000 itapendez ikiw chin ya apo
Mimi ninayo. Ni elfu 20 kwa mwezi. Ipo Katumpa Kamparama..
Unadhani wote tupo makalioni kwako kwamba tunafahamu ulipo? Be specific, unataka frame maeneo gani?
Jamani 😃😃😃😂😂Mimi ninayo. Ni elfu 20 kwa mwezi. Ipo Katumpa Kamparama..
Unadhani wote tupo makalioni kwako kwamba tunafahamu ulipo? Be specific, unataka frame maeneo gani?
Si unaona karekebisha?Jamani 😃😃😃😂😂
Jamani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]
Si unaona karekebisha?
Kwakweli nimeona 😃Si unaona karekebisha?