Nahitaji flat tv smart

Nahitaji flat tv smart

vitu vya gharama zaidi, magari, tunanunua dukani?
kuthibisha gari umiliki ni TRA na clearance ya police ukitaka ni rahisi kujua na kutopata matatizo kuliko vitu vya ndani unanunua kutoka ndani kwa mtu tena hapana bora kutokua na kitu mpaka upate hela ya kutosha ununue kitu kipya hapo nazungumzia kwa wanafamilia ila kwa maisha ya gheto popote unachukua tuu...
 
Mimi nipo geto mkuu.halafu lazima nijiridhishe na mali husika.polis sio kuzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waungwana habari za jioni.

Natafuta tv flat kampuni iwe lg,sumsung,sony,panasonic,philips,tcl,startimes,nk ila isiwe kabila la hizi za kichina .

Size iwe kuanzia 32+.iwe ni smart au led tv.

Pesa mfuko wa shati ipo 450000 ila tv yako ikinivutia zaidi naweza nikaongeza kidogo hasa kwa smart .

Pesa ni ngumu wakuu tusaidiane namimi niangalie tbc yetu.wezi walaaniwe

Kwa mawasiliano zaid PM
StatX Unachukua? Ukisema za kichina una maanisha nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom