Nahitaji Faraja Moyo wangu Unateketea.

Sasa ukipata ajira mafunga hiyo ndoa na ikatokea bahati mbaya ukaipoteza hiyo ajira, hiyo ndoa itaendelea kuwepo kweli!. Waswahili husema dalili ya mvua ni mawingu. sometimes usiruhusu hisia zako zitawale akili yako.
Sorry , hapo juu namaanisha, mkafunga ndoa
 
Natamani angejua nampenda ila naona kama haamini hilo kutokana na hali yangu haiwezi kumpa kile anachotaka.
 
Ukiona mwanaume mwaminifu sanaaa ujue hana hela, mapenzi ya siku hizi mwanaume lazima uwe na hela ndiyo kilainishi na kitendea kazi ktk mapenzi,kinafanya mapenzi yateremke tu bila ukakasi,achana na mapenzi kwanza tafuta hela kwanza, kuwa mwanaume sio kazi ya kitoto
 
unaona huwez muacha kwa kuwa ujashika pesa na kula papuchi uitakayo, tafuta pesa mkuu uone kama utakuwa na hamu nae.

now unajiona una mapenzi ya kweli kwa kuwa huna jeuri ya kuomba mtanange kwingine nani akupe papuchi ya mkopo.

Tafuta pesa atajileta mwenyewe na wenzake utachagua wewe.
 
Nikiliweza hilo najua nitakuwa sawa milele
 
Huyu jamaa matatizo hayo ni kama anajitakia tu maana dalili kuwa mwanamke huyo hafai zi wazi kabisa. Halafu sijui vichwa vyetu vikoje mpaka MTU awaze kwamba kuajiriwa ni muhimu kiasi hiki.
 
Natamani angejua nampenda ila naona kama haamini hilo kutokana na hali yangu haiwezi kumpa kile anachotaka.
Hakuna mtu anayependa kuambiwa nakupenda huo upendo unatakiwa ujionyeshe wenyewe mzee.

"Eti nakupenda ila sina cha kukupa" huku anaona shoga zake wanapendeza wanatolewa out!

mzee utagongewa saana na atakudharau tu.

Wewe naona unajipa mizigo miwili wa kutafuta kazi na wa kumfikiria mtu mwingine.

Mwache tena mueleze mama sina kazi siwezi kukuhudumia na pia naona nakuchelewesha maisha wenzako wanaolewa naona nakupa wakati mgumu...hapo achague kusuka au kunyoa...
 
Sasa ukipata ajira mafunga hiyo ndoa na ikatokea bahati mbaya ukaipoteza hiyo ajira, hiyo ndoa itaendelea kuwepo kweli!. Waswahili husema dalili ya mvua ni mawingu. sometimes usiruhusu hisia zako zitawale akili yako.
Asante sana Jamaa ndiyo maana nimelisogeza hili kwenu najua msaada nitapata.
 
Kupata Mapenzi kwingineko naweza ila sina tabia hiyo katika mahusiano yangu, nikitaka ngono muda wowote ule napata tena isiyo ya kununua mkuu.
 
Kiukweli kwanza kabisa wewe ni bwege,tens bwege mtozeni.
Pili wewe hujitambui,
Tatu hujithamini,
Nne hujipendi na mwisho
Tano hujiheshimu.
sijawahi sikia mwanaume aise na akili timamu kama wewe. Endelea kulia kaka utatengeneza bahari yako ya machozi siku moja,kila la kheri.
 
Ngoja nisake kazi atakuja siku moja.
 

Hebu nambie mda ambao uko online kama dakika 20 hivi uje pm nikusaidie namna yaku reduce vitu flan and accept the reality.
Usilete masihara lakini
 
acha kulia lia,mwanaume wewe au hujui kutongoza ndo maana umemganda huyo kahaba wako?....piga chini,hamia kwenye kutafuta maisha full time sio kuhangaika na huyo kiruka njia....mwanaume hajishushi to that level,na ipo siku atagongewa kitandani kwako huku amekuficha uvunguni kisa huna kazi.
 
Asante
 
Huyp hakupendi anakupendea ajira ili muwe mnakula wote mshahar,,bora ukae single
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…