Nahitaji eneo Kibaha ndani ndani huko, nje ya mji kabisa

Nahitaji eneo Kibaha ndani ndani huko, nje ya mji kabisa

Wakuu kama kichwa cha habari kivyo hapo, nahitaj shamba/eneo , heka moja au mbili kwaajil ya kufuga, iwe ndani huko nje ya mji

Mwenye kuweka pendekeza vijiji labda niende au mwenye kujua mtu anae uza au anae uza tuwasiliane DM au kwenye comment au namba 0753059778
Mfukoni pako vizuri?
 
Njoo uchukue mlandizi mwanabito
Eka moja milioni mbili
Umeme na maji ya dawasco vipo jirani
 
Mm nina eneo langu. Ruvu darajani.
Lina mabwawa matatu ya samaki. Mabanda ya nguruwe na kuku. Nyumba ya kuishi. Vyumba viwili.
Maji ya dawasco.
Mtre 100 kutoka mto ruvu. Nimezungusha eneo lote fence.
Karibuni wateja
M100 ruvu? Mbona hatari kupindukia?
Mbona mto ukifurika yatakufika majanga?
Nimeishi ruvu na mlandizi maji pale yanasambaa balaa wakati wa mafuriko
 
M100 ruvu? Mbona hatari kupindukia?
Mbona mto ukifurika yatakufika majanga?
Nimeishi ruvu na mlandizi maji pale yanasambaa balaa wakati wa mafuriko
Hongera kujua hilo mwenyeji.
Hongera kukaa mlandizi na hongera kukaa ruvu.
Mimi eneo langu halipo kwenye Mita 100 kama ulizokua unakaa wewe.
 
MKOA WA PWANI MLANDIZI MSONGOLA
ENEO LINAUZWA
LINA UKUBWA WA HEKA
👉 4

ENEO LIPO UMBALI WA KM 👉 4

ENEO LIPO MSONGOLA SHULE YA MSINGI

ENEO LINAUZWA MIL
👉 6
KWA KILA HEKA MOJA

UMBALI NI KM 4
TOKA MORO ROAD

0762815104

KARIBU MTEJA
🤣🤣🤣🤣🤣 Mlandizi nishanunua eka 3 kwa one million
 
Na KIWANGWA BAGAMOYO HEKA MOJA TSH 1,200,000/=
 
Back
Top Bottom