Dumelang JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 3,271 Reaction score 5,915 Aug 26, 2011 #1 Waungwana naomba kujua hapa Bongo wapi kuna shule nzuri ya Video Production, Coz nataka kujikita katika fani hii baada ya kupata utaalamu. au mtu yeyote mjuzi wa fani hii na anataka kufundisha here i am. awe na kiwango cha profession
Waungwana naomba kujua hapa Bongo wapi kuna shule nzuri ya Video Production, Coz nataka kujikita katika fani hii baada ya kupata utaalamu. au mtu yeyote mjuzi wa fani hii na anataka kufundisha here i am. awe na kiwango cha profession