Nahitaji Domain Name

Tembele

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
1,151
342
Habari Wadau,

Ninahitaji domain name ya .CO.TZ tafadhali nisaidie kunifahamisha

1. Domain .co.tz itanigharimu kiasi gani kwa mwaka. ( nita host kwa blogger/blogspot for the time being)

2. Agent gani ninapoweza pata hiyo domain kwa bei rafuu ( Please advice Email ama simu )

Ahsanteni
 
Kwa kawaida bei ya domain inagharimu TShs 25000 kwa mwaka, ila kupitia madalali kama mimi itabidi nikuwekee cha juu hapo ikiwa ni pamoja na kuiweka kwenye cpanel na kuifanya ifungue blog yako ya blogger. Hivyo kwa bajeti ya Tshs 50000 kwa mwaka utafanikisha lengo lako kikamilifu, just Check me private nikufanyie kazi mkuu
 
Em nipe gharama za kufungua website na iwe active all day long
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom