nahitaji details kuhusu MBUDYA island.

Titans

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,462
2,000
Wakuu salam,

nilisikia kuwa kuna kisiwa bahari ya hindi ukitokea whitesands pale,ni sehem ambayo inasemekana ni nzuri sana kwa refreshment..mnisaidie wanabodi nijue nauli ya boti kwenda kule,je kule kisiwani gharama za misosi na vitu vingine ni sh ngapi,nimejaribu kutafuta google.com nimekosa details..nataka nimpeleke wifi/shemeji yenu akaenjoy bana nisije kuumbuka nikiwa kule...asanteni.
 

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,334
0
Jiandae kukutana na rundo la vitendea kazi used huko,watu wanafanya sana uzanga huko.
 

Davie S.M

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
748
225
Boti elfu 10 (go&return, elfu 2000 sijui ndio ya kisiwa...chakula bora ukabeba take away pamoja na drink zako..price zao hazieleweki tho..then kuna samaki poa na pweza matata
 

Rubuye123

JF-Expert Member
Dec 18, 2009
2,018
2,000
Boti elfu 10 (go&return, elfu 2000 sijui ndio ya kisiwa...chakula bora ukabeba take away pamoja na drink zako..price zao hazieleweki tho..then kuna samaki poa na pweza matata
mkubwa...siku-doubt ila tu naomba unihakikishie haswa huu usawa wa nauli na time za boti haswa muda wa kurudi kaka....tafadhali ni muhimu sana!
 

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,135
2,000
watu hapo juu hawafunguki wanabakia kunitisha tu na kule kisiwani...so kilo inaweza tosha kiaina sio
mkuu sijawahi kwenda kule ila nami niliulizia mtu akaniambia mkiwa wawili uwe na hela ya kutosha, sasa najua gharama ipo kwenye nauli ya boti...halafu na chakula...pia gharama ya kujaza gari yako mafuta hadi Whitesands.
Andaa kama kitu kama buku 60 hadi kilo moja, najua chenji itabaki lakini ni vyema kuwa na hela ya kutosha
 

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
10,595
2,000
Boti zipo Whitesands siku nzuri ni jumamosi au jumapili....kule kuna wapishi wanauza samaki choma safi sana na chips na vinywaji...ila usikae hadi usiku sana huwa wanavamiwa na vibaka wanakuja na silaha wanapora na kukimbia na boti zao!
 
Top Bottom