Dish
JF-Expert Member
- Jun 3, 2019
- 628
- 930
ACHA kuvaa boksa
Avae chupi sasa [emoji23][emoji23]
ACHA kuvaa boksa
Upo mji gani, kama upo Dar nenda mitaa ya Mawasiliano kuna masai mmoja analinda lodge moja iko uchochoroni hivi kama unaelekea Perfect SchoolSalaam....Wakubwa Shikamooni... Na vijana wenzangu Habaei za wakati huu poleni na majukumu wote kwa Pamoja.
Naombeni msaada wa kujua au kupata mtaalam wa ukweli na uhakika. Naitaji Dawa ya kulefusha umbile langu Uume kufikia Nchi 7.
Kwani mimi nina kibamia yaani nina mshine yenye Nchi 4 naitaji niwe na mkuyenge Msaada wenu tafadhari kwa anayemjua mtaalamu wa kweli.
Ukiona ni soo kuongelea hapa basi unaweza kuja PM.
Natanguliza shukrani zangu za Dhat.
AHSANTENI SANA
Sent using Jamii Forums mobile app