Nahitaji dawa za kurefusha uume

Hapana,ila unajua uke wa mwanamke unaweza ukaingiza mkono na ukapita,tatzo n kuzoesha kipi kiingie,uke ukikaa kwa mda bila tendo huwa unajibana(kama naongopa utanambia),na kawaida size ya uume ni wastan wa inch 4 hadi 5,hapo ndo unaanzia,mwanamke akiuzoea wa inch 4 siku akikutana na inch 7 atajua tu kilichoingia leo n kikubwa,mwanamke sasa awe na busara na uvumilivu kama amekutana na kibamia baadae atauzoea tu,SUBIRA HUVUTA KHERI(Shikamoo wahenga)
Teh teh teh teh teeeeeh!!!!!
Mnavyojua kujitetea sasa.
 
You sound like a confident young man. Approach yako na mpaka umejiita mkali wa mambo.

Acha hayo mambo ya kubadilisha maumbile, kazana kuboresha mechi zako. Hizo dawa hazitabirikagi.

Mara pap! Inarefuka lakini inajilalia tu nyweeeeeee haisimami labda kwa POP. Just kidding.

Good sex is never about the size honey. It's about how you pump it. Kuwa na pumzi zako za kutosha, jua wapi pa kulenga and you are good to go.
 
Teh teh teh teh teeeeeh!!!!!
Mnavyojua kujitetea sasa.
Sio kujitetea,hyo kaomba ushaur wa kurefusha,nimejaribu kumuelezea ukweli(haimaanishi nam n mhanga wa kiba100),hyo n siri ya chupi na mwenza wangu(wengne wavivu wakuongea na wazur wa vtendo)
 
Marhabaaaaaaa,mm nimepita kupokea hyo salamu maana si busara kijana ukisalimia kwa adabu wazee tukukalie kimya,ila kabla hujampata huyo mtaalam,nikushauri kitu mjukuu wangu,kwanza dhana ya kurefusha uume ifanye kipolo maana hata hyo inch 7 unayotaka n ndogo kama lengo lako unataka uonekane una uume mkubwa kwenye via vya uzazi vya mwanamke ambavyo ni mpira yaan hutanuka kulingana na kinachoingia,uke hutanuka kulingana na ulichobeba ktkt ya mapaja yako,ikiwa inch 5 bac uke nao utabana kufata uume,kuhusu kina pia,wew piga zoezi,jiamin,huo uume ulionao ukiutumia vzur mwanamke atarizika kuliko hata inch 7,utaongeza uume ujanan utapata shida ukubwan,nakushauri kam mjukuu wangu
Kuna kaukweli hapo, maana pressure ya damu ikianza kua ndogo ukiwa mtu mzima
i mean 45 yrs na kuendelea unaeza kuta mkuyenge hausimami vzur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ushauri mzuri kabisa na mleta mada ufate huu ushauri na mods wafunge mjadala huu waweke na kufuli
Marhabaaaaaaa,mm nimepita kupokea hyo salamu maana si busara kijana ukisalimia kwa adabu wazee tukukalie kimya,ila kabla hujampata huyo mtaalam,nikushauri kitu mjukuu wangu,kwanza dhana ya kurefusha uume ifanye kipolo maana hata hyo inch 7 unayotaka n ndogo kama lengo lako unataka uonekane una uume mkubwa kwenye via vya uzazi vya mwanamke ambavyo ni mpira yaan hutanuka kulingana na kinachoingia,uke hutanuka kulingana na ulichobeba ktkt ya mapaja yako,ikiwa inch 5 bac uke nao utabana kufata uume,kuhusu kina pia,wew piga zoezi,jiamin,huo uume ulionao ukiutumia vzur mwanamke atarizika kuliko hata inch 7,utaongeza uume ujanan utapata shida ukubwan,nakushauri kam mjukuu wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Nina kibamia ila vurugu zangu kama Ng'olo Kante yaan sikubali kushindwa ni kitim Tim vurugu patashika lazima ujute....
 
Alisoma comments na akaelewa, amekuuliza swali, Na wewe si mwanamke ?, kwani uulize kwamba wanawake wanalalamikia vibamia ?, ilhali ultakiwa ujue kwanini wanalalamika kwa sababu nawe ni sehemu yao ??!!
Hata wewe hujasoma vizuri na umenukuu tofauti na nilivyoandika hebu nukuu neno kwa neno utaona tofauti ya kile nilichokiandika mimi na hiki ulichoandika wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom