Nahitaji dawa za kurefusha uume

Nahitaji dawa za kurefusha uume

MKALI WA MAMBO

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
211
Reaction score
146
Salaam....Wakubwa Shikamooni... Na vijana wenzangu Habaei za wakati huu poleni na majukumu wote kwa Pamoja.

Naombeni msaada wa kujua au kupata mtaalam wa ukweli na uhakika. Naitaji Dawa ya kulefusha umbile langu Uume kufikia Nchi 7.

Kwani mimi nina kibamia yaani nina mshine yenye Nchi 4 naitaji niwe na mkuyenge Msaada wenu tafadhari kwa anayemjua mtaalamu wa kweli.

Ukiona ni soo kuongelea hapa basi unaweza kuja PM.

Natanguliza shukrani zangu za Dhat.

AHSANTENI SANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam....Wakubwa Shikamooni... Na vijana wenzangu Habaei za wakati huu poleni na majukumu wote kwa Pamoja.

Naombeni msaada wa kujua au kupata mtaalam wa ukweli na uhakika. Naitaji Dawa ya kulefusha umbile langu Uume kufikia Nchi 7.

Kwani mimi nina kibamia naitaji niwe na mkuyenge Msaada wenu tafadhari kwa anayemjua mtaalamu wa kweli.

Ukiona ni soo kuongelea hapa basi unaweza kuja PM.

Natanguliza shukrani zangu za Dhat.

AHSANTENI SANA

Sent using Jamii Forums mobile app
Marhabaaaaaaa,mm nimepita kupokea hyo salamu maana si busara kijana ukisalimia kwa adabu wazee tukukalie kimya,ila kabla hujampata huyo mtaalam,nikushauri kitu mjukuu wangu,kwanza dhana ya kurefusha uume ifanye kipolo maana hata hyo inch 7 unayotaka n ndogo kama lengo lako unataka uonekane una uume mkubwa kwenye via vya uzazi vya mwanamke ambavyo ni mpira yaan hutanuka kulingana na kinachoingia,uke hutanuka kulingana na ulichobeba ktkt ya mapaja yako,ikiwa inch 5 bac uke nao utabana kufata uume,kuhusu kina pia,wew piga zoezi,jiamin,huo uume ulionao ukiutumia vzur mwanamke atarizika kuliko hata inch 7,utaongeza uume ujanan utapata shida ukubwan,nakushauri kam mjukuu wangu
 
Mmmh ni kweli? Sasa kwa nini baadhi ya wanawake wanalalamikia vibamia?

Ahsante sana Mzee wangu kwa Ushauri wako nitaufanyia kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh ni kweli? Sasa kwa nini baadhi ya wanawake wanalalamikia vibamia?

Sent using Jamii Forums mobile app
kilichotangulia n kikubwa kuliko kilichofuata,kama mwanamke anaweza kurizika kwa kidole(sorry lugha ya ukakasi kidogo) sembuse huo uume ambao n mkubwa zaid ya kidole ila ukaitwa kiba100,
Kuna wadada wanaotaka kitu kikiwaingia mpaka wakohoe hao sasa ndo c mshaur mweny huu uzi kuwa nao,watamsababisha aongeze ifike inch 9,ampate mwenza anaefaa
 
Confidence ni tatizo kwa jinsia zote aisee.

Vijana wa kiume: Kibamia, nguvu za kiume, hela.

Wanawake: Uzuri wa sura, umbo la kuvutia.

Hapa ndo unakutana na matumizi ya dawa za kuongeza uume, dawa za kuongeza nguvu za kiume, mikorogo, dawa za kuongeza matako/hips, dawa za kuongeza mvuto.

Hizi zote ni kutojiamini, you can do better ukiamua kuwa real.
 
Back
Top Bottom