Nahitaji dawa ya mwanamke kigeugeu

Nahitaji dawa ya mwanamke kigeugeu

Au geto linanuka sigara, au kakuta jamaa kavaa zile boxer za TMK wanaume family.
Anatakiwa atafute chanzo kabla ya solution
mkuu mm situmii sigara wala pombe...labda nikukaribishe geto utanielewa
 
mkuu chanzo cha tatizo ni hicho hapo cha wao kuwa kigeugeu...sitaki nataka, kama ni ishu ya usafi nipo vzuri, game napiga mpk extra time..haya niambie sasa tatizo ni mm ama wao?
Basi itabidi uwaulize wao na usitusahau kuleta mrejesho
 
salaam wakuu..

Ipo hivi, tangu niumizwe katika mahusiano nimekuwa mtu wa tofauti kidogo kwani nimewachukulia wanawake kama watu wasiokuwa na msimamo hasa linapokuja suala na mahusiano

sasa nimeamua kutokuwa na mahusiano kwa mda ili nifanye mambo mengine ya muhimu hasa kutafuta pesa najua hawa wanawake wapo tu.

kitika mishe zangu nakutana na wanawake wanaovutiwa na mm na wapo ambao wanadiriki kunipa mzigo bila hata mm kuwatongoza, wapo hawa ambao wanaonesha dalili kabisa kuwa wanataka dushe ila nikitengeneza mazingira wanaanza kuwa kigeugeu, mara atoe visingizio kuwa yupo mp mara aseme anaumwa, yan yeye mwenyewe kaja geto sijamuita alafu anaanza kuzingua,mwingne ye anasema anapenda romance tu

ebu nipeni dawa ya mtu kama huyu...sipendi ujinga mimi
Dawa ni pese mkuu weka laki hapo kama hajavua faster,
 
hahahaa..sasa size inahusiana nn na kuwa kigeugeu, mana mwingine hata hajui size yangu ataanzaje kuwaza kama ni kibamia ama tango
Khaaaaa inamaana wanaondokaga bila hata kuipapasa? Hao wanawake wana akili kweli?
Aseee hadi nimehisi kuwachukia.... Sasa tufanyeje?
 
Huyo wa romance pia umemshindwa??? Loooh! Piga naye romance then yeye mwenyewe atadai mshipi.
Yaani Romance ndo kwisha abali yake. Yaani lazima moto uwake[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Nashindwaga kuelewa huu msemo

"nitafute kwanza pesa wanawake wapo " tafuta pesa huku unaenjoy neema za mtoto. Kwa hiyo waliooa hawatafuti pesa kisa wapo na mademu zao wa kudumu? ?
 
Au geto linanuka sigara, au kakuta jamaa kavaa zile boxer za TMK wanaume family.
Anatakiwa atafute chanzo kabla ya solution
Ha ha kwani zile za TMK wanaume Sio boxer[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Dawa ni pese mkuu weka laki hapo kama hajavua faster,
dah mkuu hapa ndo nawaza huenda ndo tatizo linapoanzia, mana wakija na muonekano wa geto ulivo wanatamani kuondoka na mpunga kidogo
 
Khaaaaa inamaana wanaondokaga bila hata kuipapasa? Hao wanawake wana akili kweli?
Aseee hadi nimehisi kuwachukia.... Sasa tufanyeje?
sio wote mkuu...hata ww ukija naamini hutaondoka kama wale wengine
 
Nashindwaga kuelewa huu msemo

"nitafute kwanza pesa wanawake wapo " tafuta pesa huku unaenjoy neema za mtoto. Kwa hiyo waliooa hawatafuti pesa kisa wapo na mademu zao wa kudumu? ?
mkuu niliepanga nae kula hizo neema ndio huyo kazingua, bora nizidi kutafuta mwenyew na nile peke yangu
 
mkuu niliepanga nae kula hizo neema ndio huyo kazingua, bora nizidi kutafuta mwenyew na nile peke yangu
Teh haya, ila kama ni mimi ningetafuta mwingine nikaendelea nae. Nikiona anaeleweka tunaenda kama hasomeki namfanya sex toy.
 
Huyo ndemu ndio wale unapomtongoza anakwambia, ukimaliza kuongea niangushe unipe na hela! Akija tena jaribu hili zoezi utaniambia. Hata unapotaka kuishusha ile nguo ndogo, ya kwanza kuvaliwa ya mwisho kuvuliwa huwa wanavunga kuizuia, ila ukifanikiwa kuifikisha chini ya magoti anaimalizia yeye mwenyewe kwa miguu huku akisema mi sitaki, kumbe anataka. Jaribu hili zoezi uone !!
 
sio wote mkuu...hata ww ukija naamini hutaondoka kama wale wengine
Basi fanya hivi.... We kuwa kama jogoo, akiingia tu unampanda bila hata salamu, make ukianza story ndo hivi wanakua kigeugeu
 
Back
Top Bottom