KIJANA WA MUNGU
Member
- Aug 4, 2014
- 21
- 7
Wakuu poleni na majukumu. nahitaji kununua dagaa wa kutengeneza chakula cha kuku. yaani dagaa wa grade B.
watu wamezoea kuwaita dagaa wachafu. kwa wenye nao ni pm tafadhari. ila kabla ya ku-pm hakikisha una vigezo hivi chini.
1.uwe na mzigo kuanzia tani 3 na kuendelea..
2.dagaa wako wasiwe walianikwa kwenye mawe madogo madogo yaani kokoto, wasiwe na vipande vya mawe. wakati wa kuwa pitisha kwenye mitambo mawe uleta madhara
3.Wasiwe na michanga
4.kama ni dagaa wa kutoka kisiwa cha goziba, wasiwe na nyasi nyasi.
Mimi niko Dar ila kama una mzigo na sifa hizo pm nitakuja kuukagua au nitakwambia utume sample kwanza. then tutafanya biashara
5. Bei kwa kila kilo moja ths 700