Nahitaji Critical Thinking hapa tafadhali

Kuuwa ni kuuwa tu haijalishi umeuwaje!!! tabia mbaya ni tabia mbaya tu haijalishi unaifanya kwa mtindo upi!!! udogo wa miaka sio gigezo hata siku moja 18 is just a number!!! mtoto mdogo usiku wa manane unakwenda kwa watu kutafuta nini!!! Asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengo!!! usitetee ujinga hata kama aliyeufanya ni mtu wako wa karibu kiasi gani!!! ujinga ni ujinga tu..
 
Mkuu niachie huyo ' Bwege Nazi ' kwani tayari nimeshampa ' dozi ' yake muda si punde. Hata hivyo akhsante nawe kwa kuanza nae. Kuna mijitu humu mipuuzi sana halafu ukiikuta huko mitaani Kwao inatamba kabisa kama ni Intellectuals wakati kumbe ni Kinyume chake.
 
Wewe ndio ulileta uzi wa 'sniper' wa Lissu?
 
Class mate wangu mmoja ni mkuu wa gereza mojawapo hapa nchini nina taarifa sahihi na hata humu kuna uzi pia maofisa wa jeshi la Magereza wamelifafanuwa hilo mwaka huu.

Lulu atatumikia mwaka 1 na miezi 4 tu na hata pungufu ya hapo accordingly.
 
Nimejibu kwa akili uliyotumia wewe kuita greater thinker sasa hapo wewe ndio utaweka kama ni popoma au Ngumbaru........... maana hata wewe maelezo yako sio ya great ni ya kundi hilo hilo la ngumbaru na popoma ova

😀😀😀😀😀😀😀 naomba unitake radhi upesi kwa kuniita Ngumbaru ( Mjinga ) na Popoma ( Mpumbavu ) Duniani kote aliyevumbua maneno / misamiati mipya huwa hatakiwi kurudishiwa Yeye hayo hayo maneno / misamiati yake hivyo umenikosea sana. Omba radhi upesi Mkuu 😀😀😀😀😀😀😀
 
Umeandika mengi sana, ila Chinese proverbs says a photo can speak thousands language. Jibu lako liko hapo.

Class mate wangu mmoja ni mkuu wa gereza mojawapo hapa nchini nina taarifa sahihi na hata humu kuna uzi pia maofisa wa jeshi la Magereza wamelifafanuwa hilo mwaka huu.

Lulu atatumikia mwaka 1 na miezi 4 tu na hata pungufu ya hapo accordingly.

Afadhali Mkuu na akhsante kwa taarifa yako ambayo sasa naiamini kutokana na ninavyokuamini pia Wewe humu Jamvini. Kwahiyo Mbunye itarudi soon Mkuu ili Wadau waendelee kutiririka na kuserereka nayo kama kawaida? Ila kuna Washkaji zangu fulani hivi wa Kolokoloni moja ni ' Wabanduaji ' hatari sijui kama ' Mfungwa ' hatoichezea ' Mikuyenge ' yao huko aliko Kolokoloni Mkuu. Mwenyezi Mungu amsaidie na amlinde tu!
 
Ungeisoma hukumu yote Kwanza ungeelewa vizuri my sister
 
Class mate wangu mmoja ni mkuu wa gereza mojawapo hapa nchini nina taarifa sahihi na hata humu kuna uzi pia maofisa wa jeshi la Magereza wamelifafanuwa hilo mwaka huu.

Lulu atatumikia mwaka 1 na miezi 4 tu na hata pungufu ya hapo accordingly.
kumbe waliotoa ufafanuzi ni wakuu wa Magereza hahahahahaha aisee mi nilijua ni wajuzi wa Sheria inayosimamia Magereza
 
Soma mada inasemaje na wahusika wa kuchangia thread wanatakiwa watu wa aina gani?

Mkuu leo unawapa Watu ' dozi ' kali kali tu hadi nabaki kucheka na kupasuka mbavu zangu huku. Ama hakika leo wanaowashwawashwa watakukoma katika uzi huu. Leo umeifanya Kazi yangu kuwa rahisi na nimekuwa mapumzikoni sasa. Yaani unawapa tit for tat kitendo bila kuchelewa 😀😀😀😀😀😀😀
 
kumbe waliotoa ufafanuzi ni wakuu wa Magereza hahahahahaha aisee mi nilijua ni wajuzi wa Sheria inayosimamia Magereza
Wewe akili huna siwezi kupoteza muda wangu na wewe.

Kwa taarifa yako classmate wangu ana degree ya sheria ndio inayompandisha vyeo na siyo kupiga kwata.

Ukisikia askari unadhani hawana fani zao mpuuzi sana wewe.

Isitoshe hiyo system ya kutumikia kifungo 1/3 imewekwa na magereza wenyewe.
 
Ndio maana nilikwambia unataka tutumie ajili gani kwa jambo ambalo liko wazi kama hili, kwa mtu anayejiita great thinkers kama wewe hii ni kamasi jumlisha na shahawa yaani ni ujinga uliopitiza
 
Ungewatafuta uwashauri wamalizane kindugu ungeonekana wa maana zaidi.

Saivi haisaidii ...sana waonekana mtafuta kiki tu kama wengine.
 
No critical thinking is needed here..

Sheria ni Msumeno.
 
Mama Kanumba yupo Dar zamani sana hata kabla ya Kanumba kuwa maarufu alienda kwenye msiba Bukoba wakati mwanae anafariki usipotoshe
 
Ndio maana nilikwambia unataka tutumie ajili gani kwa jambo ambalo liko wazi kama hili, kwa mtu anayejiita great thinkers kama wewe hii ni kamasi jumlisha na shahawa yaani ni ujinga uliopitiza

Shikamoo Mkuu hili ' dongo ' limeniingia hadi nabaki kucheka tu hapa sasa. Mkuu leo umenipatia haya bhana!
 
Ni kweli mama kanumba asingeweza kusema asamehewe ambacho angeweza kufanya ni kutotokea mahakamani yeye na mashahidi mwisho wa siku keai ingefutwa kwa kukosa mashahidi
Kwani mama Kanumba ni shahidi?una mtoto?kama unaye umeshafikiria utamfanya nini aliyemuua hata kama hakukusudia?
 
Ungewatafuta uwashauri wamalizane kindugu ungeonekana wa maana zaidi.

Saivi haisaidii ...sana waonekana mtafuta kiki tu kama wengine.

Watch out not that extent please!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…