Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,556
- 109,087
1/3 ya two years ni mwaka mmoja na miezi minne ndio muda anaopaswa kutumikia Lulu gerezani kwa sheria za Magereza.Two years ni michache kwa nadharia ya namba na uhalisia wa adhabu yake kwa aina ya kosa alilokutwa nalo Lulu,Ila ni Mingi kwa maana ya maisha aliyozoea na maisha mapya ambayo ataenda kuishi huko Lupango
Mwanadamu wa kawaida ana hulka ya vitu viwili katika maisha yake adaption ya mazingira yanayokuzunguka na pia kuwa na uwezo wa kusahau jambo hata kama lilikuwa kubwa kias gan ila hufkia mwisho na maisha yanaendlea, Hili swala linaonekana Gumu kwa pande zote mbili kwa sasa ila baada ya miez sita kuanzia sasa kila mtu ataanza kulichukulia kawaida kipind hicho na kifungo nacho kinakarbia kuisha.
Hii ni nafas pekee ya Lulu kujipanga na kurud upya uraian akiwa mkamilifu bila kuwa na mzigo wowote mgongon kwa maana atakuwa ameshatumikia adhabu yake, Kibiashara na aina ya maisha yake ya usanii inaweza kuwa ni opportunity nzur sana ya kubadlisha maisha yake kama akiamua kutumia vzur kutokuwepo kwake kwenye hii jamii, Atapata nafas ya kutafakari upya aina ya maisha yake na pia anaweza kuwa biashara nzur kwake kwenye tasnia yake ya usanii na matangazo kwa maana kila mtu atataka kujua nin kimtokea kwa kipind hicho alichokuwa huko,
Exclusive ya Maisha yake ya Jela inaweza kuwa ni fursa nzur ya kutengeneza kipato cha kutosha na kuanza maisha mengne kwa maana atapata nafas ya kufanya total overhaul ya maisha yake.
Ningekuwa Familia ya Lulu ningeshaur atumikie hii miaka miwili kuliko kufanya focus ya kukata rufaa kwa maana after two years na kwa umri wake bado mdogo atakuwa ameshautua huu mzgo mkubwa ambao ameish nao toka kifo cha kanumba.
So sio mbaya kama ni hvyo muda unazid kuwa mfupi kuliko kukata rufaa na kuanza tena kuliwazia swala moja at the same time huwez jua nn kitatoka kwenye hukumu ya rufaa pia1/3 ya two years ni mwaka mmoja na miezi minne ndio muda anaopaswa kutumikia Lulu gerezani kwa sheria za Magereza.
Alichoniacha hoi huyo mama ati anaishukuru serikali ya awamu ya tano, haya ni mauzauza matupu hajui hata muhimili wa mahakama ni nini.
Huyu mama kwa mara ya kwanza nilimsikia amekuja kwenye msiba wa Kanumba Dar na mpaka leo amezamia Dar na hana hata mpango na mzazi mwenzanke Baba Kanumba na amejipa haki zote za urithi wa marehemu, huyu mama ni sehemu ya mashetani tunaoishi nao humu duniani wakiwa na maumbo ya binadamu.
Since day one, tulipopata taarifa za kifo cha Kanumba hapa JF mpaka leo msimamo wangu juu ya Kanumba haujawahi kuyumba wala kubadilika, kwangu Kanumba alikuwa ni mbakaji tu na wala si vinginevyo.
Mungu amuweke anapostahili.
Gentamycine mtu akiiba akafungwa ni sawa au kuna haja kumsamehe tu akiwa amemuibia mkristu?
Sasa hapa critical thinkers wa kazi gani wakati hata mm darasa la pili b naweza kujibu maswali yako yote
Mbaya zaidi aliyemharibu huyu mtoto ni Kanumba, ona at this age huyu mbakaji alishakaanzia kukapiga brush.Niko upande wa Lulu.
Mahakama ya kichwa changu. Haijapata uthibitisho. Lulu anahusika vipi na kifo cha kanumba.
Angetumia zana yoyote. Mfano kisu, panga, nyundo n. K. Hapo ningesema sawa.
MAHAKAMA HAINA MAKOSA. hakuna wa kulaumiwa.
Ni sehemu ya maisha yetu.
OMBA YASIKUKUTE.
Sasa wewe mwenye bichwa zuri la kuelewa umeshindwa nini kujibu nilichokuuliza? Unambwela mbwela nini sasa, jibu swali mtu akimuibia mkristu na huyo mkristu akasamehe ni basi kesi inaisha?Nimesema Ukristo hapo kwakuwa ndani ya Ukristo kuna kitu Kusamehe labda Wewe siyo Mkristo hivyo bichwa lako ni gumu kuelewa / kung'amua. Humu mitaani tunayaona mengi sana ambayo kama leo hii yote haya yangepelekwa huko Mahakamani basi Magereza ya Tanzania yangefurika ila tu Hekima ya Kidini hutumika na mambo humalizwa kwa Watu kusameheana, kupeana mikono na maisha yanaenda.
Wewe unapwaya sana kwenye hili jukwaa siyo size yako.Sasa wewe mwenye bichwa zuri la kuelewa umeshindwa nini kujibu nilichokuuliza? Unambwela mbwela nini sasa, jibu swali mtu akimuibia mkristu na huyo mkristu akasamehe ni basi kesi inaisha?
Heri yako wewe usiyepwaya kaka, ubarikiwe sanaWewe unapwaya sana kwenye hili jukwaa siyo size yako.
Zipo kesi nyingi tu zinaondolewa mahakamani na zinaenda kumalizwa nje ya mahakama.
Na hata zile kesi ambazo Jamhuri ndio mshtaki DPP ana mamlaka ya kuzifuta kama Manji alivyofutiwa kesi ya uhujumu uchumi na DPP.
Wacha kuropoka kwa vitu usivyovijuwa, siyo lazima ugande jukwaa hili unaweza kwenda hata jukwaa la mapishi ukajifunze kupika.
Lulu na mama ake lulu hawakuwa na adabu hata kidigo kwa mama lkanumba. behind the scene walikuwa wakimdharau na kumtukana sn mama k...
Mkuu awali ya yote nakusalimu na kwa kuwa umehitaji kuliangalia tukio kwa Jicho Pana ebu tusaidiane Jambo kwa Pamoja..Sawa ni kweli kwamba Mwanao alifariki akiwa na huyo Binti katika Starehe zao na hata hivyo Marehemu Mwanao nae kama kungekuwa kuna uwezekano na Sheria za Kuhukumu Maiti basi yawezekana hata Yeye pia huko huko aliko mavumbini basi angehukumiwa Kifungo cha miaka 30 kwa kufanya Mapenzi na Binti aliye chini ya Umri wa miaka 18.
Mpaka sasa nawaza na akili yangu imegoma kabisa kuelewa baadhi ya matukio yanayohitaji mno tafakuri tunduizi ( critical thinking ) ya kilichotokea jana katika Nyumba moja ya Sheria na Utoaji wa hukumu nchini Tanzania maeneo ya Posta.
Hivi Mama wa Marehemu amepata faida gani labda kwa kufurahia Binti mdogo kwenda Lupango kwa miezi 24? Hivi Mama wa Marehemu kitendo cha kutoka pale Nyumba ya Sheria na Hukumu Posta huku akifurahi na moja kwa moja kwenda alipolala Mwanae Kinondoni kumsalimia kilikuwa kina maanisha nini?
Kama ni mashindano je Mama wa Marehemu alikuwa anashindana nini na Binti aliyehukumiwa miezi 24 Gerezani? Zile furaha pale Posta zilizokuwa zikisindikizwa na machozi zilitokana na nini hasa? Je baada ya ule ushindi wa Kisheria na Kihukumu wa jana Marehemu ameshafufuka na sasa amerudi Kwake Sinza?
Hivi hapakuwa na room ya mazungumzo yoyote ya Kidiplomasia baina ya pande mbili Kinzani / Hasimu zaidi ya Kukomoana na kuonyeshana nani ni Bingwa / Mshindi? Kwahiyo kumbe siku hizi Wakristo nchini Tanzania tunarudishiana ubaya kwa ubaya ( wenyewe mnasema kama noma na iwe noma ) kwa wale Maadui zetu.
Naomba kuuliza hivi laiti kama zile Mali za aliyelala sasa pale Mtaa wa Mkulima Kinondoni zingekuwepo hadi hivi leo na zinazalisha Mama Marehemu angepoteza muda na Kesi hiyo? Je hapa tukiamini kama labda ukazaji wa Vyuma ndiyo umejenga hasira kwa Mama hadi akaamua Kumkomo Binti wa Watu tutakuwa tumekosea?
Nimalizie tu kwa kusema kwamba huko nyuma nilikuwa nasikia tu kwamba Watanzania japo masikioni mwa wengi wanasifika kwa kuwa Wakarimu ila nilichokigundua na leo mtanisamehe sana ni kwamba hakuna Watu wenye roho mbaya, makatili and pure sadists kama Watanzania kubali kataeni.
Kama Mkristo wa kweli binafsi sikuona haja yoyote ya Mama Marehemu kulishikilia hili jambo bango hivi na badala yake ningesamehe tu na kumuachia kila kitu Mwenyezi Mungu na kuendelea na maisha yangu bila Marehemu nikijua / kuamini kwamba kila jambo hupangwa na Mwenyezi Mungu.
Huyu Mama anaweza kudhani kuwa amefanikiwa 100% ila kwa jicho kali la Kisaikolojia nasema wazi kabisa kwamba Mama Marehemu huenda sasa akawa katika data base yake ndiyo ameharakisha kuongeza idadi kubwa ya Maadui kuliko Marafiki na hali ambayo huenda pia ikampelekea akawa na maisha magumu na ya shida pengine hata kuliko ambapo huyo Binti aliyefungwa angekuwepo uraiani.
Wadau huu ni mtazamo wangu tu na kama na Wewe una wako nakukaribisha sana nawe pia uweze Kutiririka na Kuserereka hapa na jisikie huru kunipinga kwa Hoja kwani hapa Great Thinkers hapa tuunganishe bongo zetu na tulifikirie hili nje ya box kabisa ili tuwekane sawa. Naomba leo katika uzi huu kusiwepo na matusi ya aina yoyote yale ila madongo ya hapa na pale Kwangu nayaruhusu ila siyo matusi. Nimetahadharisha mapema tu ili huko mbele ya safari tusije kulaumiana.
Nawapendeni nyote na karibuni pia.
Nawasilisha.
Great Thinker hapa hawahitajiki................ na nitakujibu 1 -4 au 5
1. Mama Kanumba hakumshitaki Lulu
2. Lulu alikuwa ameshitakiwa na Jamhuri
3. Nadhani wewe bado huna mtoto au bado kijana mdogo sanaa.....
4. Lulu alishashindikana na alikubuhu kwa mambo ya kikubwa... kabla ya kifo cha Kanumba alifanya party ya kuwa 18
5. Lulu na mama yake hawakupaswa hata kwa dawa kumdharau yule mama.... bado yeye kusema anakwenda kumzika rasmi mwanae kuna baya gani?
wakati Lulu na mama yake wanakuja na discover huku akimpiga kikumbo mama wa marehemuu as if ni mke mwenzake wewe uliona sawa tuu acheni kwanza hata hiyo miaka miwili nayo ni bado ni michache sana tena mno.
CV niliwahi kutumikia kifungo kwa kosa la mauji bila kukusudia hiyo ni adhabu tosha kwa life time yake........ Mungu ampe ujasiri amalize salama...........
1/3 ya two years ni mwaka mmoja na miezi minne ndio muda anaopaswa kutumikia Lulu gerezani kwa sheria za Magereza.
Kwahiyo kama hujajibu kama Great Thinker umejibu kama nani kati ya Popoma au Ngumbaru? Nasubiri kwa hamu sana jibu langu.
Mbaya zaidi aliyemharibu huyu mtoto ni Kanumba, ona at this age huyu mbakaji alishakaanzia kukapiga brush.
Sijuwagi kama majaji wetu huwa wanajipa muda mzuri wa kufuatilia fact za back ground.
View attachment 630731View attachment 630733
Sasa wewe mwenye bichwa zuri la kuelewa umeshindwa nini kujibu nilichokuuliza? Unambwela mbwela nini sasa, jibu swali mtu akimuibia mkristu na huyo mkristu akasamehe ni basi kesi inaisha?