Nahitaji Computer

Nahitaji Computer

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,481
Reaction score
1,355
Kwa yeyote anayelijua duka kwa Dar ambalo naweza pata laptop yenye vigezo hivi naomba mawasiliano ya dukani please ,nahitaji laplop kwa ajili ya gaming ,budget yangu isizidi 370000

.9th Generation Intel Core i5 processor

NVIDIA GeForce GTX 1050 (3 GB)

8 GB memory; 500 GB SSD storage

.Brand ni yeyote ,HP ,Dell nk
 
Nipe namba za dukani ndugu kama unazo
 
Kwa bei hiyo na hizo requirements huwezi pata mkuu
 
Sifa za hii mashine haiwezi kuwa dukani. Dili na walioishiwa au za dili. Processor 9th generation ya intel ndio bei yake iyo uliyoandika. Hii mashine dukani kama upo serious weka 1.2 mfuko wa shati.
 
Sifa za hii mashine haiwezi kuwa dukani. Dili na walioishiwa au za dili. Processor 9th generation ya intel ndio bei yake iyo uliyoandika. Hii mashine dukani kama upo serious weka 1.2 mfuko wa shati.
Hata 1.2m hupati labda iwe haina hio 1050.

Kwa laptop za 1050 zinaanzia around 700usd Tena huko duniani.

Ajiandae 2M, kwa lowend/mid-range pc ambayo most of time haina 512GB ssd,
 
Back
Top Bottom